Posts

Showing posts from June, 2023

WATANZANIA TUJIANDAE! Yaliyotokea Morogoro Dhahiri Mwisho Wa Dunia Umefika Tazama

Katika hali isiyo ya kawaida imeibuka katika Manispaa ya Morogoro baada ya mwanaume mmoja aliyedaiwa kupotea mwaka 2022 leo mabaki yake yamepatikana na kuwaacha midomo wazi wananchi wa eneo la mtaa wa Kampani Tanu kwa huzuni na vilio. Mabaki hayo ya mwili wa mwanaume huyo aliyekuwa anajulikana kwa jina la Christome Simon aliyekuwa na umri wa miaka arobaini na saba (47) alikiwa anaishi mtaa wa Kampani Tanu katika Manispaa ya Morogoro. Bw. Christome alitoweka mwezi wa kumi na moja mwaka jana (2022), na leo mabaki yake yamepatikana katika pori la Mgulu wa Ndege lililopo mkoani Morogoro. Akizungumza kaka wa marehemu, Joachim Simon amesema mdogo wake alipotea katika mazingira ya kutatanisha kwani mara ya mwisho alionekana mtaani akiwa amevaa begi, baada ya hapo hakupatikana licha ya kupimgia simu yake na kumtafuta sehemu mbalimbali lakini hawakuweza kumpata na amedai kuwa hakuwa na ugomvi wala mgogoro na mtu yeyote. Ameongezea kwa kusema alipata taarifa kuwa kuna mabaki ya mtu mmoja yameone...

NICOLE NI BALAA! Ona Umbo Lake Anavyolionyesha Wazi, Atamka Rasmi Kuwa Yupo Single(+Video)

  Moja kati ya warembo ambao wanatamba katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na maumbile yao ni mrembo Nicoleberry, ambapo mrembo huyo amekuwa akifanya kazi mbalimbali za sanaa. Lakini licha ya kazi za mrembo huyo pia ni mfanyabiasha. Ukweli ni kwamba Nicole ni mmoja kati ya wasanii amabao wamejaaliwa kuwa na umbo lenye kuwavutia watu wengi, hasa wanaumena pia mwenyewe analifahamu hilo. Lakini licha ya kuwa na umbo kubwa pia sauti yake imekuwa gumzo kila mahali. Hivi karibuni Nicole alionekana kinara muigizaji chipukizi katika tamthilia ya Huba. Japokuwa watu walimsema sana n kumkataa namna anavyoigiza lakini hakutaka kabisa kukata tamaa na kudai kuwa anakiamini kile anachokifanya na pia anahali tu kuwa kinamuingizia hela. Mbali nah apo Nicole alikuwa akiwakosha watu wengi katika mitandao kwa picha zake anazoziweka mtandaoni. Watu wengi walivutiwa napicha zake japokuwa Picha nyingi zilikuwa zikionyesha maudhui ya kingono, kwasababu ya namna umbo lake au muonekano wake uliv...

Nyie Diamond Na Zuchu Wametupiga Na Kitu Kizito, Oneni Mabusu Na Mahaba Hadharani(+Video)

  Waungwana wanakuambia Lisemwalo lipo na kama halipo bhasi Laja...! Kauli hii inanipeleka moja kwa moja hadi WCB pale Usafini kwa kaka mkubwa Diamond Platnumz na Bibie Zuhura. Ni muda sasa umepita tangu tuanze kusikia Fununu za wawili hawa kutoka kimapenzi, na kitu kikubwa kinachokuja kuaminisha watu ni zile kauli za watu walio karibu na Familia hii ya Wasafi kupitia mahojiano mbalimbali hata comments zao pia kwenye mitandao ya Kijamii. Hivi nani yupo wa kupinga mahusiano ya Simba na Zuchu?, Nani ambaye ana kikwazo juu ya wawili hawa endapo wakifunga ndoa. Ushawahi kufuatilia ukweli juu ya usemi usemao " Kelele za Chura hazimzuii Tembo Kunywa maji" endapo mahusiano ya Zuchu na Platnumz yatakuwa yanakukera ilihali mtu kama Mama Dangote, Esma, Romy Jones, Don Fumbwe na Kina Lokole wamempitisha binti huyu wa kizanzibar we ni nani hadi ueleweke kwa Mond?. Nadhani ni Muda sahihi sana kwa Simba kutulia na Kufunga ndoa na Binti huyu, kwanza wanaendana sio tuu kwenye Collabo za ngom...