NICOLE NI BALAA! Ona Umbo Lake Anavyolionyesha Wazi, Atamka Rasmi Kuwa Yupo Single(+Video)

 

Moja kati ya warembo ambao wanatamba katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na maumbile yao ni mrembo Nicoleberry, ambapo mrembo huyo amekuwa akifanya kazi mbalimbali za sanaa. Lakini licha ya kazi za mrembo huyo pia ni mfanyabiasha.


Ukweli ni kwamba Nicole ni mmoja kati ya wasanii amabao wamejaaliwa kuwa na umbo lenye kuwavutia watu wengi, hasa wanaumena pia mwenyewe analifahamu hilo. Lakini licha ya kuwa na umbo kubwa pia sauti yake imekuwa gumzo kila mahali.


Hivi karibuni Nicole alionekana kinara muigizaji chipukizi katika tamthilia ya Huba. Japokuwa watu walimsema sana n kumkataa namna anavyoigiza lakini hakutaka kabisa kukata tamaa na kudai kuwa anakiamini kile anachokifanya na pia anahali tu kuwa kinamuingizia hela.


Mbali nah apo Nicole alikuwa akiwakosha watu wengi katika mitandao kwa picha zake anazoziweka mtandaoni. Watu wengi walivutiwa napicha zake japokuwa Picha nyingi zilikuwa zikionyesha maudhui ya kingono, kwasababu ya namna umbo lake au muonekano wake ulivyo na nguo za nusu utupu anazovaa.


Kubwa kuliko ni siku ya jana alipohojiwa na mwandishi wa habari wa media fulani, na kuulizwa kuhusu mahusiano yake. Huwezi kuamini Nicole berry na Msambandwa wote ule anasema yupo single. Lakini anadai kuwa kwake single inategemea ni nani anamuuliza. Hii imekaaje wadau wangu, je kwanini Nicole anachagua watu wa kuwajibu kuhusu mahusiano yake.



Comments